A-Z AHMED ALLY AZUNGUMZIA SAKATA LA LAMECK LAWI/”NI MCHEZAJI WETU/MSIMU UJAO WATU WATANENEPA” – VIDEO

Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema Klabu ya Simba inatarajia kuweka kambi nchini Misri katika Mji wa Ismailia kwa ajili ya kujiandaa katika kuelekea msimu mjao wa mashindano (pre season) mwanzoni mwa mwezi Julai.