
BREAKING: JOHN BOCCO AKUTANA NA THANK YOU
MOJA ya washambuliaji bora ndani ya Bongo kwa wazawa ambaye alikuwa ndani ya kikosi cha Simba John Bocco amepewa mkono wa asante. Nyota huyo kafunga zaidi ya mabao 100 ndani ya ligi akiwa ni mshambuliaji mwenye mabao mengi kwa wazawa rekodi ambayo inaishi. Ipo wazi kwamba kwa msimu wa 2023/24 haukuwa bora kwake Bocco ambapo…