
MWAMBA AYOUB KWENYE RADA ZA YANGA
MKALI kutoka kwa matajiri wa Dar, Ayoub Lyanga anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa mitaa ya Jangwani, Yanga kwa ajili ya kupata changamoto mpya. Ipo wazi kuwa nyota huyo ambaye ameibukandani ya Azam FC akitokea Coastal Union alikuwa anapigiwa hesabu na mabosi hao kitambo. Ni Yanga na Simba walikuwa wanahitaji saini yake lakini Azam…