
DODOMA JIJI YAPIGWA 4G NA YANGA
MASTA Aziz KI kiungo mshambuliaji wa Yanga amepindua Meza ya vita ya ufungaji bora baada ya kufunga mabao mawili dhidi ya Dodoma Jiji na kufikisha mabao 17 akiwa namba moja chati ya ufungaji. KI amefunga mabao mawili wakati ubao wa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma ukisoma Dodoma Jiji 0-4 Yanga ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa…