
KIBU DENNIS AIBUA JAMBO SIMBA
MKANDAJI Kibu Dennis ambaye kwa sasa anapambania hali yake kurejea kwenye ubora ameibua jambo ndani ya Simba baada ya tetesi kueleza kwamba ana ofa kutoka timu inayoshiriki Ligi Kuu Bara. Kibu mchezo uliopita dhidi ya Namungo alikwama kukamilisha dakika 90 kuna hatihati akakosekana kwenye mchezo wa kesho Mei 3 2024 dhidi ya Mtibwa Sugar. Taarifa…