
JKT TANZANIA NGOMA NGUMU MBELE YA YANGA
LICHA ya mazingira ya Uwanja wa Meja Isamuhyo kutokuwa rafiki kwa timu zote mbili ngoma imekuwa ngumu kwa wote wawili kugawana pointi mojamoja. Ubao umesoma JKT Tanzania 0-0 Yanga baada ya filimbi ya mwisho kwa mwamuzi kupigwa katika mchezo wa mzunguko wa pili. Ikumbukwe kwamba mzunguko wa kwanza JKT Tanzania walishuhudia ubao wa Uwanja wa…