KOCHA BENCHIKHA OUT SIMBA

KOCHA Abdelhakh Benchikha aliyekuwa akiifundisha Simba sasa hatakuwa katikakatika majukumu hayo baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Benchikha mrithi wa mikoba ya Robert Oliveira mchezomchezo wake wa kwanza Kariakoo Dabi ilikuwa Aprili 20 2024 ubao ulisoma Yanga 2-1 Simba. Ni yeye alikuwa na timu katika mashindano ya Muungano 2024 kwenye mechi mbili walishinda zote…

Read More

JKT TANZANIA KWENYE KAZI NYINGINE TENA

WAJEDA JKT Tanzania wanatarajiwa kuwa na kazi nyingine kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar. JKT Tanzania mchezo wake wa mzunguko wa pili uliopita ilikuwa dhidi ya Yanga na ilishuhudia ubao ukisoma JKT Tanzania 0-0 Yanga. Katika mchezo huo waligawana pointi mojamoja baada ya dakika 90 kukamilika kwa kuwa mchezo wa mzunguko…

Read More

MWAMBA ANA BALAA AZIZ KI

MWAMBA Aziz KI ana balaa zito ndani ya uwanja kutokana na mwendo wake wa kucheka na nyavu kwa msimu wa 2023/24 ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Miguel Gamondi akiwa na pasi 7 za mabao msimu wa 2023/24 na mguu wake wenye nguvu ni ule wa kushoto akiwa akiwa kafunga mabao 13 na mawili…

Read More

SIMBA WAREJEA DAR NA KOMBE

BAADA ya kukamilisha kazi ya dakika 180 kwenye msako wa Kombe la Muungano, mabingwa wapya ambao ni Simba wamewasili Dar. Kombe la Muungano 2024 lilifanyika Visiwani Zanzibar lilianzia hatua ya nusu fainali ambapo timu nne zilishiriki kwenye mashindano hayo. Ilikuwa nusu fainali ya kwanza KVZ 0-2 Simba mabao ya Michael Fred na Israel Mwenda kwa…

Read More

Siku ya Kutimiza Ndoto Zako ni Leo

Hivi unajua kuwa leo ni siku ya kutimiza ndoto zako endapo utabashiri na meridianbet mechi zako za leo kwa kuchagua machaguo uyatakayo?. Suka mkeka wako sasa na uanze kuengeneza jamvi lako kirahisi sana. LIGUE 1 kama kawaida mechi ni nyingi sana FC Lorient  ambao ni wa 17 watawaalika Toulouse FC ambao ni wa 11 huku…

Read More

COASTAL UNION WAIPA SOMO YANGA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba umejifunza jambo la muhimu sana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union licha ya kupata ushindi wa bao 1-0. Aprili 27 2024 Yanga ilikuwa na kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Coastal Union baada ya dakika 90 walikomba pointi tatu kwa ushindi wa bao la Joseph…

Read More

MIKONO YA KIPA WA COASTAL UNION MOTO MKALI

MIKONO ya kipa namba moja w Coastal Union, Ley Matampi ilikuwa ni moto wa kuotea mbali kutokana na kuokoa hatari za wapinzani wao Yanga. Licha ya ubao wa Uwanja wa Azam Complex kusoma Yanga 1-0 Coastal Union, kipa Matampi alifanya kazi kubwa kwenye kutimiza majukumu yake. Miongoni mwa nyota ambao walifanya majaribio makubwa kwenye kumtungua…

Read More