SIMBA INAPASWA KUBADILIKA KABISA MAMBO BADO
ANAANDIKA Jembe Inawezekana naona tofauti na wengi lakini naona kuwa lazima kuna mambo kadhaa ambayo Simba wanapaswa kubadilisha katika kikosi chao ili kukifanya kuwa bora… Mechi iliyopita Vs JKT kunaweza kuwa na sababu ya kiwanja lakini unaona suala la kikosi kinachopambana linabaki kwa baadhi ya wachezaji na wengine wanaonekana kuwa slow au kama wamechoka hivi……