KAGERA SUGAR YAZIPIGIA HESABU POINTI ZA YANGA
LIGI Kuu Bara F2 2024 inarejea kwa mara nyingine tena baada ya mapumziko yaliyotokana na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kushiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, (AFCON). Ni hatua ya makundi Stars iligotea ikukusanya pointi mbili katika michezo mitatu iliyocheza huku bao likifungwa moja na nyota Simon Msuva. Leo Kagera Sugar…