YANGA KUIKABILI DODOMA JIJI
BAADA ya kuambulia sare mchezo wao wa kwanza ndani ya Februari 2 2024 mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga kesho wanashuka kwa mara nyingine tena uwanjani. Kesho Yanga itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Dodoma Jiji mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Yanga ilikomba pointi moja ugenini Uwanja wa Kaitaba…