KIUNGO HUYU HAKUJALI KUHUSU KUCHEZA ILA MACHO KWENYE NOTI
KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Alex Song ameweka wazi kuwa wakati anajiunga na Barcelona sehemu ya mkataba uliandikwa kuwa hatokuwa na nafasi ya kucheza mara kwa mara lakini yeye hakujali hasa alipoona atalipwa mshahara mkubwa. Hivyo nyota huyo kwake kucheza haikuwa kipaumbele zaidi macho ilikuwa ni kwenye noti, mkwanja ambao alikwenda kuuvuna hap. Alex Song…