>

KAGERA SUGAR NGOMA NZITO DHIDI YA YANGA

WABABE wawili leo Februari 2 2024 wametoshana nguvu ndani ya mchezo wa Ligi Kuu kwenye msako wa pointi tatu ndani ya dakika 90. Kwenye mchezo wa leo ambao kipindi cha kwanza timu zote zilizheza kwa kushambuliana kwa kushtukiza mabeki na makipa walikuwa kazini kutimiza majukumu yao. Mpaka dakika 90 zinakamilika ilikuwa ni Kagera Sugar 0-0…

Read More

SIMBA QUEENS/JKT QUEENS ZAPETA LIGI YA WANAWAKE

WASHINDANI wawili ndani ya Ligi ya Wanawake Tanzania kila mmoja kwa wakati wakati kapeta kwa kukomba pointi tatu uwanjani. Ni JKT Queens 6-0 Baobab Queens mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania. Amina Bilal, Jackline, Donisia Minja na Stumai Abdallah huyu katupia hat trick. Kwenye mchezo mwingine ambao ulikuwa unafuatiliwa kwa ukaribu ilikuwa ni ule…

Read More

Ukicheza Kasino ya Thirsty Viking Kuwa Tajiri ni Sekunde Tu

Meridianbet Inakuletea mchezo kasino mtandaoni wa kushangaza ambao utakushangaza kwa jinsi. Unakaribishwa kukutana na Vikings ambao watakupatia bonasi za kasino mtandaoni za kushangaza. Ni wewe tu kujumuika nao. Thirsty Viking ni sloti ya kasino mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Synot. Burudani yenye nguvu inakusubiri katika mchezo huu. Kuna mizunguko ya bure yenye nembo za wild na…

Read More

HIZI HAPA REKODI ZA RAUNDI YA SABA LIGI YA WANAWAKE BONGO

LIGI ya Wanawake Tanzania kazi inaendelea kwa kila timu kuwa kwenye msako wa pointi tatu na kwenye raundi ya saba kuna maajabu saba yameandikwa tunakugusia baadhi namna hii:- Mabao 12 yamefungwa kwenye mzunguko wa saba baada ya mechi tano kuchezwa ikionyesha ugumu wa ligi kuendelea tofauti na ilivyokuwa mzunguko wa sita yalipofungwa mabao 13. Hakuna…

Read More

OKRAH APEWA KIFAA MAALUM YANGA

MADAKTARI wa Yanga wanaangalia uwezekano mkubwa wa kumpa kifaa maalum cha ‘Mask’ kiungo wake mpya Augustine Okrah aliyepata jeraha eneo la puani. Kiungo huyo alipata majeraha hayo katika Kombe la Mapinduzi mwezi Januari, baada ya kugongana na mchezaji wa timu pinzani na kupata majeraha katika mishipa ya puani. Nyota huyo aliyejiunga na Yanga katika dirisha…

Read More

AUCHO NDANI YA NYUMBA DHIDI YA KAGERA

KOCHA Mkuu wa Yanga amechukua maamuzi ya kuwabakisha Jijini Dar es Salaam mabeki wake tegemeo nahodha Bakari Mwamnyeto na Ibrahim Hamad ‘Bacca’ kwa hofu ya kujitonyesha majeraha huku kiungo mkabaji Khalid Aucho akiungana na msafara wa timu hiyo, baada ya kumaliza adhabu ya michezo mitatu. Kikosi cha Yanga jana alfajiri kilipanda Ndege kuelekea Mkoani Kagera…

Read More