STAY AWAY FROM THE SUN

UNAWEZA kushangaa kuwa Jua ni tatizo hapa Ivory Coast? Ngoja nikukumbushe kile kisa cha AFCON ya Cameroon. Kama unamkumbuka mwamuzi Janny Sikazwe katika mechi ya Mali dhidi ya Tunisia, alizua mjadala kumaliza mechi kabla ya muda na match kamishna akamtaka kurejea kumalizia zile dk 5, akaanzisha tena mchezo na baada ya hapo akapelekwa hospitali. Ishu…

Read More

BETPAWA YANOGESHA AFCON KWA KUTOA ZAWADI

KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya betPawa imenogesha fainali ya Mataifa ya Afrika (Afcon) inayoendelea nchini Ivory Coast kwa kumwaga zawadi mbalimbali kwa mashabiki. Kampuni hiyo kwa sasa inaendesha kampeni “Soka Live na betPawa” ambapo mbali ya kuwakutanisha mashabiki kuangalia mpira pamoja, pia uwazawadia zawadi mbalimbali kama jezi, mabegi, mipira, vikombe, chupa za maji na…

Read More

VISA ZAIDI YA 10 KWENYE GANZI YA MAUMIVU VILITOKEA

IKUFIKIE popote ulipo kwamba kwenye simulizi ya Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo iliyokuwa ikiandikwa ndani ya Championi Jumatano kuna visa zaidi ya 10 ambavyo vilitokea katika maisha ya kila siku. Ikumbukwe kwamba simulizi ya Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo inaingia kwenye orodha ya simulizi bora zilizopata nafasi ya kuchapishwa ndani ya gazeti la Championi Jumatano…

Read More

SIMBA YAPIGA MKWARAMZITO

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amepiga mkwara mzito kwa kusema kuwa washambuliaji waliosajiliwa watafunga mabao mengi kwelikweli. Ipo wazi kwamba Simba imeachana na Moses Phiri na mshambuliaji wao namba moja Jean Baleke kwenye dirisha dogo la usajili. Nyota wapya waliosajiliwa kwa upande wa ushambuliaji ni Pa Jobe na Fred Michael….

Read More

TAIFA STARS NA MATUMAINI AFCON

NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Simon Msuva amesema kuwa bado wana nafasi ya kufuzu hatua ya makundi kwenye Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) nchini Ivory Coast licha ya kete ya kwanza kutokuwa na matokeo mazuri kwa Tanzania. Ipo wazi kwamba katika mchezo wa kwanza uliochezwa Januari 17 ilikuwa Morocco 3-0 Tanzania waliomtungua Aishi…

Read More