
AZAM FC KUSUKA KIKOSI CHA KAZI KUIMALIZA SIMBA
KALI Ongala, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa watapata muda wa kuunda mpango kazi kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mechi ijayo dhidi ya Simba. Timu hiyo inatarajiwa kumenyana na Simba mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation, Uwanja wa Nangwanda ambapo bingwa mtetezi ni Yanga. Yanga wao watacheza hatua…