
ZAMA ZA AZAM FC NA SIMBA ZILIKUWA NGUMU
ZAMA za Obrey Chirwa ndani ya Azam FC walipokutana na Simba ilikuwa kazi kubwa kumzuia kwa mabeki wakiogozwa na Joash Onyango. Mechi zao zote wanapokutana uwanjani huwa sio nyepesi na kwenye ligi msimu huu Azam FC wamesepa na pointi nne huku Simba wakisepa na pointi moja. Kwa sasa Chirwa yupo zake ndani ya Ihefu akipambania…