NTIBANZOKIZA NA TUZO MKONONI, MABAO SABABU

MKONONI ana tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu Bara kwa mwezi Mei baada ya kuwashinda nyota wawili alioingia nao fainali. Nyota huyo ni shuhuda wa watani zao wa jadi Yanga wakisepa na taji la ligi kwa msimu wa 2022/23 wakiwa na tofauti ya pointi tano. Anaitwa Saido Ntibanzokiza kiungo mshambuliaji wa Simba ambaye alitupia…

Read More

WAKALI WA KUTENGENEZA PASI ZA MWISHO BONGO

WAKALI ni wakali tu iwe ni mwanzo ama mwisho wanakiwasha na msimu wa 2022/23 umeshuhudia wengi kwenye kila sekta. Kwenye mwendo wa data tuna wakali wa kutengeneza pasi za mwisho namna hii:- Clatous Chama pasi 14 Kinara kwa kutengeneza pasi za mwisho Bongo ndani ya Ligi Kuu Bara ni Clatous Chama yupo zake ndani ya…

Read More

CITY MABINGWA WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

UEFA Champions League mkononi kwa ushindi wa bao la Rodri dakika ya 68 dhidi ya Inter Milan Uwanja wa Ataturk Olympic. Katika mchezo huo Kocha Mkuu wa City Pep Guardiola alishuhudia vijana wake wàkipiga kona mbili na wapinzani wao Kona nne. Jumla zilipigwa pasi 512 kwa City na 394 kwa Inter ambao wapipiga mashuti sita…

Read More

WATATU WAPENYA TUZO SIMBA, SAIDO NDANI

KWENYE orodha ya Wachezaji wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) mwezi Mei, 2023 kiungo mshambuliaji Saido Ntibanzokiza jina lake limepenya. Ntibanzokiza anapambania tuzo hiyo akiwa kiungo peke yake huku wawili wakiwa ni mabeki wa kazikazi ndani ya Simba. Nyota huyo kafunga msimu akiwa ametupia mabao…

Read More

DUBE KAFUNGA KIBABE BONGO

WAKATI msimu wa 2022/23 ukifungwa mwamba Prince Dube kafunga kwa rekodi ya kusepa na mpira wake wa kwanza msimu huu kwenye ligi. Dube ambaye anatarajiwa kuwa miongoni mwa nyota watakaocheza fainali ya Azam Sports Federation dhidi ya Yanga alifunga mabao manne peke yake. Juni 12 Azam FC inatarajiwa kumenyana na Yanga kwenye fainali Uwanja wa…

Read More

MABINGWA NDANI YA DAR NA KOMBE

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 Yanga leo Juni 10, 2022 wameandaa paredi la ubingwa wao. Timu hiyo chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Sokoine ukisoma Tanzania Prisons 0-2 Yanga. Mabao ya Yanga ni mali ya Fiston Mayele mwenye mabao 17 pamoja na Yannick Bangala ambaye naye alitupia…

Read More

MAANDALIZI YA MSIMU MPYA YAANZE MAPEMA

BAADA ya kusimama kwa muda kupisha ratiba ya mashindano ya kimataifa, Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2022/23 ilirejea rasmi Juni 6 Jumanne kwa michezo nane kupigwa kwenye viwanja mbalimbali nchini. Kufuatia matokeo ya Juni 6 kila mmoja alianza kuona picha kamili baada ya kesi ya ubingwa kufungwa mapema na Yanga kufanikisha malengo yao. Yanga…

Read More

YANGA WASEPA NA UBINGWA WAO WA LIGI KUU BARA

YANGA wamesepa na ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 wakiwa na pointi 78. Mchezo wa mwisho kwa msimu huu wameshuhudia ubao wa Uwanja wa Sokoine ukisoma Tanzania Prisons 0-2 Yanga. Ni mabao ya Fiston Mayele wa Yanga dakika ya 33 alipachika bao hilo akitumia pasi ya Sure Boy na bao la pili ni…

Read More

SIMBA YAICHAPA COASTAL UNION, SAIDO ATUPIA

KIKOSI cha Simba kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Coastal Union uliochezwa Uwanja wa Uhuru huku kikigotea nafasi ya pili vinara ni Yanga. Yanga ni namba moja kwenye msimamo wakiwa wamepata ushindi mbele ya Tanzania Prisons, Mbeya. Simba imekamilisha kazi yake kwa msimu wa 2022/23 ikiwa ni kupitia kwa Saido Ntibanzokiza aliyepachika mabao…

Read More

TANZANIA PRISONS YAPOTEZA MBELE YA YANGA

BAADA ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Sokoine umesoma Tanzania Prisons 0-2 Yanga. Kwenye mchezo wa leo wa kufunga msimu wa 2022/23 Nasreddine Nabi kocha wa Yanga alianza na kikosi chote cha kazi ikiwa ni pamoja na Joyce Lomalisa, Djigui Diarra. Ni bao la Fiston Mayele dakika ya 33 na lile la pili likifungwa…

Read More

TANZANIA PRISONS 0-1 YANGA

FISTON Mayele anachojua ni kufunga mengine weka kando kambani ni mabao 17 kwenye Ligi Kuu Bara. Ubao wa Uwanja wa Sokoine unasoma Tanzania Prisons 0-1 Yanga ikiwa ni mchezo wa ligi. Bao hilo amepachika dakika ya 33 akiwa ndani ya 18 akitumia pasi ya Sure Boy. Yanga leo watakabidhiwa ubingwa wao wakiwa ardhi ya Mbeya,…

Read More

SIMBA 3-1 COASTA UNION

UBAO wa Uwanja wa Uhuru unasoma Simba 3-1 Coastal Union ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili. Saido Ntibanzokiza alifunga bao la kuweka usawa dakika ya 13 akisawazisha bao la Coastal Union waliopachika bao la kuongoza kwa pigo la penalti dakika ya 7 kupitia kwa Amza Moboubarack. John Bocco kipindi cha pili amepachika bao la…

Read More

SURE BOY KAIBUKIA MBEYA

KIUNGO wa Yanga, Salim Aboubhakar, ‘Sure Boy’ ameibukia ndani ya Mbeya kwa mara ya kwanza msimu wa 2022/23 akimpa mateso kipa wa Ligi Kuu Bara, Haroun Mandanda. Sure Boy ndani ya msimu wa 2022/23 alikuwa hajafunga bao wala kutoa pasi ya bao katika mechi 21 ambazo alicheza na kutumia dakika 1,363 kuvuja jasho uwanjani akiwa…

Read More