
ARSENAL NI MOTO KWELIKWELI
KASI ya Arsenal kwenye Ligi Kuu England ni moto baada ya kupindua meza kwenye mchezo dhidi ya Manchester United wakiwa nyumbani. Ubao wa Uwanja wa Emirates umesoma Arsenal 3-2 Manchester United ambao walipigiwa mpira mkubwa wakiwa ugenini. Ni Marcus Rashford alianza kufunga dakika ya 17 na lile la pili kwa United lilifungwa na Lisandro Martinez…