
December 2023


MAN UNITED VS CHELSEA KIPUTE CHA WABABE
Jumatano hii inapigwa mechi ya kibabe sana katika ligi kuu ya Uingereza kati ya klabu ya Manchester United dhidi ya Chelsea ambao watakua ugenini katika dimba la Old Trafford, Mchezo ambao ukawepo kwenye tovuti ya Meridianbet. Mchezo huu umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet ambapo unamuwezesha mteja kujishindia maokoto ya kutosha, Huku wakiwa wamepewa fursa ya…

CHAMA KALIAMSHA HUKO NDANI YA SIMBA
CLATOUS Chama, mwamba wa Lusaka ameanza kujipata taratibu baada ya kuonyesha ubora uliokosekana kwa muda mrefu ndani ya uwanja. Chini ya Roberto Oliveira, mchezo wa mwisho kufanya umwamba ilikuwa dhidi ya Power Dynamos alipofunga mabao mawili, ubao uliposoma Power Dynamos 2-2 Simba baada ya hapo hakuwa kwenye ubora wake. Ikumbukwe kwamba alikuwa ndani ya Uwanja…

PATA BONASI YA KASINO MPAKA 2,500,000/= TZS UKIJISAJILI MERIDIANBET
Unaijua 200% inakuaje? Meridianbet msimu huu wa Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya unapojisajili, ukaongeza salio kwenye akaunti yako kisha kucheza kasino ya mtandaoni au kubashiri soka unapatiwa bonasi ya mgao wa 2,500,000/=TZS Kila mchezaji aliyejisajili kwenye tovuti ya Meridanbet.co.tz au Meridianbet APP na kuweka pesa kwa mara kwanza kiasi kinachoanzia TZS 10,000 na zaidi kisha kucheza …

TWIGA STARS YATUSUA WAFCON UGENINI
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars ambayo imefuzu kucheza mashindano ya WAFCON 2024 yatakayofanyika nchini Morocco.amesema kuwa jitihada za kupata ushindi zilishindikana lakini wachezaji walijituma. Twiga imefuzu baada ya ushindi wa jumla wa mabao 3-2 dhidi ya Togo ambapo kila mmoja kashinda kwenye mechi aliyokuwa nyumbani. Ikumbukwe kwamba Twiga…

MECHI NNE ZA KIMATAIFA ZITAKAZOAMUA HATMA YA SIMBA NA YANGA CAF
BAADA ya Yanga na Simba kucheza mechi mbili katika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika ipo wazi kwamba wameanza kwa kusuasua hivyo ni muhimu wafanye kweli kwenye mechi nne zilizobaki. Ikiwa watazichanga karata vyema katika mechi nne zilizobaki angalau wanaweza kufufua matumaini ya kutinga hatua ya robo fainali ambayo ni kazi ngumu kutokana na…

FEISAL SALUM WA AZAM FC AMPOTEZA MAXI WA YANGA
NI Feisal Salum nyota wa Azam FC amempoteza kiungo wa kazi ndani ya Yanga Maxi Nzengeli kwenye kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Novemba. Fei ameibuka kuwa mchezaji bora wa mwezi Novemba akiwapoteza Maxi Nzengeli wa Yanga na Kipre Jr. wa Azam FC ambao aliingia nao kwenye fainali. Wakati Feisal aking’ara katika mwezi huo, kocha…
ALIYEWAVURUGA WAARABU KWA MKAPA ATOA TAMKO ZITO
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Pacome aliyewavuruga namna anavyopenda Waarabu Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ameweka wazi kuwa watapambana kupata matokeo kwenye mechi zinazofuata Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi. Yanga iligawana pointi moja kwenye mchezo wa kwanza wakiwa nyumbani hatua ya makundi kwa kufungana bao 1-1 dhidi ya Waarabu wa…

SIMBA WAWAFUATA WAARABU MOROCCO
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Klabu ya Simba Desemba 5 2023 imeenza safari yakuelekea Morocco. Safari hiyo ni maalumu kwa ajili ya kuikabili timu ya Wydad Casablanca mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Ikumbukwe kwamba mchezo uliopita kwa Simba wakiwa ugenini dhidi ya Jwaneng Galaxy walishuhudia ubao ukisoma Jwaneng Galaxy 0-0 Simba….

FOUNTAIN GATE PRINCESS KUSHIRIKI NGAO YA JAMII
UONGOZI wa Fountain Gate Princess umeweka wazi kuwa wamepata fursa nyingine kwa tmu hiyo kushiriki kwenye Ngao ya Jamii kwa Wanawake. Taarifa iliyotolewa imeeleza namna hii:”Tunapenda kuwafahamisha rasmi kuwa Timu yetu ya Wanawake Fountain Gate Princess inatarajia kushiriki Ngao ya Jamii Kwa Wanawake ambayo ni ishara ya kuanza kwa msimu mpya wa Ligi ya Wanawake…

CHEZA KASINO YA MTANDAONI NA SLOTI YA WILD WEST RICHES
Sloti ya Wild West Riches Ile Sloti bomba ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inayokupa nafasi ya kuibuka shujaa kwenye kundi kubwa la matajiri sasa imerejea, ni sloti ya Wild Wild West Riches humu kuna unyama mwingi na jambo kubwa ni kuwa kila ukicheza unajiweka kwenye nafasi kubwa ya kushinda. Sloti hii ya kasino ya…

YANGA YAWAFUATA WAPINZANI WAO KIMATAIFA
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, Desemba 5 alfajiri kimeanza safari kuelekea Ghana kwa ajili ya kupambania kupata pointi tatu muhimu. Baada ya kucheza mechi mbili ambazo ni dakika 180 imekusanya pointi moja pekee. Yanga inapeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika ina kibarua cha kusaka…

HUZUNI INATOSHA KIMATAIFA, KICHEKO KIPATIKANE
HUZUNI kwa mashabiki kushindwa kupata kicheko kwenye mechi za kimataifa inapaswa kuondolewa na wachezaji uwanjani. Hali haijawa nzuri kwenye mechi za kimataifa ambapo ni timu mbili kutoka ardhi ya Tanzania zinafanya kazi yake. Yanga na Simba katika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Kila timu ikiwa imecheza mechi mbili hakuna iliyoambulia ushindi jambo linaloongoza…

AMEANZA KUJIPATA CLATOUS CHAMA, LUIS BADO
MWAMBA Clatous Chama ndani ya Simba taratibu ameanza kujipata ndani ya kikosi hicho baada ya kutokuwa kwenye ubora wake kwa muda mrefu. Ikumbukwe kwamba kwenye ligi kafunga mabao mawili pekee na pasi moja ya bao msimu wa 2023/24.

WAARABU WAMPA TUZO PACOME BONGO
LICHA ya kuambulia pointi moja kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa bado Yanga hawakumaliza mechi hiyo kinyonge. Kwenye mchezo huo uliochezwa Desemba 2 na ubao ukasoma Yanga 1-1 Al Ahly ya Misri bao alilofunga nyota wa Yanga limebeba tuzo ya bao bora la wiki. Ni Pacome Zouzoua alipachika bao la…

BENCHIKHA AWAPA MAAGIZO CHAMA, BALEKE, YANGA YAIWAHI MEDEAMA
BENCHIKHA awapa maagizo Chama, Baleke, Yanga SC yaiwahi Medeama ndani ya Spoti Xtra Jumanne

VIDEO: AHMED ABDALLAH AWATAJA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA NA YANGA
AHMED Abdallaha mchambuzi wa masuala ya mpira Bongo amezungumzia kuhusu ishu ya Yanga na usajili wao huku akibainisha kuhusu kuondoka kwa Fiston Mayele ndani ya kikosi cha Yanga. Mayele alikuwa ni mshambuliaji bora wa muda wote ndani ya kikosi cha Yanga kwa misimu miwili aliyokuwa ndani ya kikosi hicho ambapo kwa sasa amesepa akiwa kwenye…