MESSI, RONALDO, NANI MBABE WA KUAMUA MECHI UWANJANI?
Wakati kukiwa bado kuna mjadala unaoendelea juu ya nani alistahili kutwaa Ballon D’or ya mwaka huu 2023, kuna baadhi wanasema Erling Haaland alipaswa kupewa lakini kuna watu wanashikilia msimamo na kusema Lionel Messi amestahili kutwaa kwa sababu ameshinda Kombe la Dunia 2022. Ni zama zao zinaenda mwishoni na utawala mwingine unakuja, lakini swali la msingi…