
MBAPPE LICHA YA USHUJAA KOCHA HANA TABASAMU
LICHA ya Kylian Mbappe kuibuka shujaa kwa kuifungia timu yake ya Paris Saint-Germain (PSG) mabao matatu, kocha wa straika huyo, Luis Enrique ameibuka na kuweka wazi kuwa hana furaha na nyota huyo. Enrique ameongeza kuwa hana furaha na Mbappe kwa kuwa anataka kumuona nyota huyo akifanya mambo makubwa zaidi katika kikosi cha timu hiyo. Mbappe…