HAWA HAPA MABINGWA WA AFL
Mabingwa wa African Football League ñi Mamelod Sundown ya Afrika Kusini mbele ya Wydad Casablanca. Katika fainali ya leo ubao umesoma Mamelod 2-0 Wydad na kuwafanya watwae ubingwa kwa jumla ya mabao 3-1. Bao la Peter Shalulile dakika ya 45 liliwaongezea nguvu vijana hao ambao walipachika bao ka pili dakika ya 53 kupitia kwa Modiba….