
WYDAD HAO FAINALI AFL
KLABU ya Waydad Casablanca ya Morocco imefanikiwa kutinga hatua ya Fainal katika Mashindano ya African Football League mara baada ya kuiondosha Klabu ya Esperance De Tunis kwa Mikwaju ya Penati Klabu ya Wydad Imeibuka ushindi wa magoli 5 yaliyopatikana kwenye mikwaju ya Penati dhidi ya Esperance walioapata magoli 4 katika mikwaju ya Penati Watakutana na…