DODOMA JIJI KUMEKUCHA, MASHUJAA YAWAKUTA
WAKIWA Uwanja wa Jamhuri, Dodoma walikuwa mashuhuda wakibaki na pointi tatu mazima baada ya dakika 90. Ubao ulisoma Dodoma Jiji 1-0 Kagera Sugar iliyokuwa inazisaka pointi tatu pia. Bao la ushindi ni mali ya Cristian Nzigah aliyepachika bao hilo dakika ya 40 lilidumu mpaka mwisho wa mchezo huo. Ikumbukwe kwamba Kagera Sugar ilitoka kukomba pointi…