MIKASA YA KUUMIZWA ILIGEUZWA FURSA KWA PNC AKATUSUA

MIKASA ya kuumizwa iligeuzwa kuwa fursa na kumpa jina mwamba kutoka kanda ya ziwa akatusua kisha jamii ukamtambua kupitia ngoma ya Mbona. Ni MJ Record aliisuka biti zama hizo miaka ya 2007 PNC jina lake ni Panckras Ndaki Charlse  akadondosha mistari yake akishirikiana na Mr Blue. Bado anapambania kombe kuonesha kipaji alichopewa na Mungu. Mengi…

Read More

SIMBA YATOA TAMKO ISHU YA WAAMUZI BONGO

WAKIWA wanaongoza ligi na pointi zao 15 kibindoni baada ya kucheza mechi tano, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amewakingia kifua waamuzi kwa kubainisha kuwa kila mmoja anatimiza majukumu yake. Simba kwenye mchezo wake wa tano dhidi ya Singida Fountain Gate uliochezwa Uwanja wa Liti, ilishuhudia ubao ukisoma Singida Fountain Gate 1-2 Simba….

Read More

MTAMBO WA MABAO YANGA WATEMBEZA MKWARA

MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga, Maxi Nzengeli amepiga mkwara kwa kuweka wazi kuwa kazi itaonekana zaidi kwa vitendo uwanjani katika kusaka ushindi. Nyota huyo anayevaa jezi namba 7 kibindoni katupia mabao matatu katika mechi za ligi pekee na katengeneza pasi moja ya bao ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya KMC, Uwanja wa Azam…

Read More

KIMATAIFA MUHIMU KUANZA MAANDALIZI KWA SASA

MUDA uliopo kwa sasa ni mwendelezo wa mashindano yaliyopo mbele kitaifa na kimataifa. Ambacho kinatakiwa ni maandalizi mazuri kwa timu zote. Kila mmoja anapenda kuona matokeo yanapatika kwenye mechi zote. Iwe ni zile za kirafiki ama za ushindani muhimu ushindi kwa kuwa hapo furaha imejificha. Ni muda wa wachezaji kufanya kazi zao kwa umakini bila…

Read More