GAMONDI AJA NA MKWARA HUU KWA MASTAA WA CAF
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia wa Argentina amewapongeza wachezaji wake kufuatia kufuzu katika makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku akitoa angalizo kwa kuwaambia wana kazi kubwa kuhakikisha wanafanya vizuri katika hatua hiyo. Gamondi ametoa kauli hiyo baada ya Yanga kuvunja rekodi ya kufuzu hatua hiyo baada ya miaka 25 kufuatia ushindi wa…