MWAMBA HUYU HAPA NDANI YA YANGA ANASUKWA UPYA
NYOTA wa Yanga, Clement Mzize anasukwa upya ili kuongeza makali yake kwenye kufunga mabao kwenye mechi za kitaifa na kimataifa. Mzize ambaye ni mzawa ni chaguo la kwanza chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi amekuwa akipewa program maalumu kwa ajili ya kuimarika zaidi awapo uwanjani. Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema kuwa wachezaji wote…