MRITHI WA MIKOBA YA HANS PLUIJM SINGIDA FOUNTAIN GATE HUYU HAPA
NI Ernst Middendorp raia wa Ujerumani ametangazwa kuwa Kocha Mkuu wa Singida Fountain Gate. Anachukua mikoba ya Hans Pluijm ambaye alipewa mkono wa asante rasmi Agosti 29 2023. Kocha huyo aliwahi kuifundisha Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ikiwa ni miongoni mwa timu ambazo alizifundisha katika bara la Afrika hivyo ana uzoefu na soka la ushindani….