
SIMBA YAREJEA KAMBINI KUIVUTIA KASI POWER DYNAMO
BAADA ya kukamilisha mechi mbili za Ligi Kuu Bara na kukomba pointi sita jumlajuma, tayari wachezaji wa Simba pamoja na benchi la ufundi wamerejea kambini. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa ligi ni Yanga chini ya kocha Miguel Gamondi. Yanga imeanza kwa kasi msimu wa 2023/24 sawa na Simba ambao ni watani zao wa jadi wote…