>

VIDEO: SIMBA YAFUNGUKIA ISHU YA PHIRI NA KUFUNGA

UONGOZI wa Simba umezungumzia juu ya nyota wao Moses Phiri kurejea katika kikosi na kufunga katika mchezo wa ligi. Phiri anatambua kwamba msimu wa 2022/23 ni Saido Ntianzokiza wanayecheza naye kikosi kimoja pamoja na Fiston Mayele aliyekuwa ndani ya Yanga walitwaa tuzo ya ufungaji bora. Nyota huyo wakati msimu unaanza alikuwa anakimbizana na Mayele wa…

Read More

LIGI IMEANZA NA UKIMYA, WAAMUZI MSINYONGE HADHARANI TENA

TUPO kwenye Ligi Kuu Bara, kipindi ambacho kilikuwa kinasubiriwa kwa hamu kubwa ikiwa ni msimu wa 2023/24. Mashabiki wa mpira nchini walisubiri kwa hamu kubwa kuona ligi inaanza tena. Hilo likatokea na tumefanikiwa kuona mambo yakienda vizuri sana. Ligi imekuwa na msisimko mkubwa licha ya kwamba, mabingwa watetezi Yanga wameshindwa kuanza mechi za ligi baada…

Read More

BEACH SOCCER NI MWENDO WA VICHAPO TU

KAZI imeanza kwenye Ligi ya Soka la Ufukweni 2023 ambapo timu zinaonyeshana uwezo kwenye mechi hizo ambazo zinachezwa Fukwe za Coco Beach na hakuna kiingilio. Agosti 19 Kundi A lilianza kuonyesha makeke kwa timu kusaka ushindi na ilikuwa ni mwendo wa kutembeza vichapo kwa wapinzani na hakuna sare iliyopatikana. Sayari Boys inaingia kwenye rekodi za…

Read More

AJIBU AFUNGA BAO LA AJABU KINOMANOMA

MSIMU wa 2023/24 bao la ajabu na nzuri limefungwa ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2023/24. Ipo wazi kwamba ni Yanga wanatetea taji la ubingwa baada ya kutwaa msimu wa 2022/23. Coastal Union ya Tanga ni mashuhuda wa Yanga wakitwaa ubingwa na msimu huu wameanza kwa kupoteza mchezo wa kwanza na ule wa…

Read More