
MTIBWA SUGAR WATUMA UJUMBE HUU SIMBA
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umebainisha kuwa kwa sasa unaendelea na maandalizi ya msimu mpya wakiwa tayari kwa mechi zote zinazowahusu. Timu hiyo inatumia Uwanja wa Manungu kwa mechi za nyumbani. Mchezo wake wa kwanza ni dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Agosti 17. Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kuwa wapo tayari kwa ajili…