
HESABU ZA KESHO MUHIMU KUPANGWA LEO
KWA kila aina ya nyakati ambazo zinapita ni muhimu kuwa na mwendelezo mzuri ambao utaleta matokeo chanya kila idara kwenye sekta ya michezo sio Yanga tu bali Singida Big Stars. Namungo mpaka Geita Gold wakati wa kuanza maandalizi ni sasa kwani kila timu ni muhimu kufanya maandalizi mazuri. Wapo ambao wanaamini kwamba kufika mwisho kwa…