
MAN CITY WABAINISHA KUWA WAMEFAYA MAMBO YA AJABU
MENEJA Pep Guardiola ameweka wazi kuwa wamefanya mambo ya ajabu kwenye mashindano ambaye wameshiriki na kuchukua mataji muhimu jambo ambalo ni furaha kwao. Ni baada ya Manchester City kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 kwenye fainali ya Kombe la FA kwenye Uwanja wa Wembley na kutwaa taji hilo. Ni Ilkay Gundogan alianza kucheka na nyavu…