>

KIBOKO YA AIR MANULA NI MOTO WA KUOTEA MBALI

MTAMBO wa mabao ndani ya Azam FC, Prince Dube kahusika kwenye mabao 10 ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kali Ongala. Dube kampa tabu pia kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula kwa kumtibulia rekodi zake za kutofungwa kwenye mechi zote mbili za ligi walipokutana Uwanja wa Mkapa. Manula wa Simba ni namba mbili kwa…

Read More

NABI:MARUMO SIO TIMU MBAYA TUPO TAYARI KUWAKABILI

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa wapinzani wao Marumo Gallants atakaokutana nao kwenye hatua ya nusu fainali sio wabaya ni timu nzuri. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa na tayari wapinzani wao Gallants wamewasili Bongo alfajiri ya leo. Nabi amesema kuwa wanatambua umuhimu wa mchezo huo wa kesho na mahitaji makubwa…

Read More

EVERTON YATEMBEZA MKONO HUKO

WANABAKI na pointi zao zilezile 55 baada ya kucheza mechi 33 ndani ya Ligi Kuu England ni Brighton ambao wamepokea kichapo wakiwa nyumbani. Ubao wa Uwanja wa Falmer ulisoma Brighton 1-5 Everton iliyofikisha pointi 32 nafasi ya 17. Maajabu ya mpira kwenye rekodi mashuti 23 walipiga Brighton na matano pekee yakilenga lango huku Everton walipiga…

Read More

NI USIKU MWINGINE WA KAZI KWA SIMBA

BAADA ya kumaliza mwendo kwenye kuwania Kombe la Azam Sports Federation sasa nguvu za Simba ni kwenye mechi za ligi. Ni usiku mwingine kwa kazi ya msako wa pointi tatu muhimu ndani ya ligi, Ruvu Shooting wanapambana kupata pointi tatu wacheza mchezo wa mtoano . Vinara wa ligi ni Yanga ambao wamekuwa kwenye mwendo mzuri…

Read More

YANGA KAMILI KUIKABILI GALLATS

ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya nusu fainali. Ni dhidi ya Marumo Gallants kutoka Afrika Kusini ambao usiku wa kuamkia leo Mei 9,2022 wamewasili ndani ya ardhi ya Dar. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Mei 10, Uwanja wa Mkapa Yanga…

Read More

SIMBA NDANI YA DAR,HESABU ZIPO HIVI

KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kimerejea salama salmin Dar kwa ajili ya maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara. Timu hiyo imebakiza mechi tatu ndani ya ligi baada ya kucheza mechi 27 na kukusanya pointi 64. Vinara wa ligi ni Yanga ambao wao kibindoni wana jumla ya pointi 71 nao wana…

Read More

KOCHA ONGALA KAWAZIDI SIMBA NJE NDANI

MBINU za Kali Ongala muda wote zimekuwa ngumu dhidi ya Simba wanapokutana ndani ya dakika 90. Ongala dhidi ya Yanga alikwama kusepa na pointi mzunguko wa pili ila ule mzunguko wa kwanza walitoshana nguvu kwa kufungana mabao 2-2. Mbele ya Singida Big Stars ugenini walipoteza kwa kufungwa bao 1-0. Ni bao moja Simba wamefanikiwa kuifunga…

Read More

MUDA HAUSUBIRI KAZI LAZIMA IENDELEE

MUDA hausubiri na kila mmoja anapambana kusaka ushindi kwenye mechi ambazo anacheza hilo ni jambo la muhimu kwa kila timu. Wachezaji wanajituma na kufanya kazi kubwa kwenye kusaka ushindi na wapo ambao wamekuwa wakionyesha uwezo mkubwa ndani ya uwanja. Kila timu ina kazi kusaka ushindi ikiwa ni kwenye mechi za lala salama kwa sasa kutokana…

Read More

MDAKA MISHALE KAWAKIMBIZA KINOMANOMA

DJIGUI Diarra, kipa namba moja wa Yanga amewakimbiza wapinzani wake wote kwenye kucheza mechi nyingi bila kufungwa ndani ya Ligi Kuu Bara. Anapambania tuzo yake ya kuwa kipa bora msimu uliopita aliyosepa nayo alipokuwa akishindana na kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula. Msimu huu wa 2022/23 Djigui ni mechi 24 kacheza kwenye ligi akisepa…

Read More

HUKU NDIKO HESABU ZA IHEFU ZILIPO

UONGOZI wa Ihefu umebainisha kuwa umeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo wao ujao wa ligi dhidi ya Coastal Union. Ihefu inashikilia rekodi ya kuwa timu ya kwanza kuifunga Yanga msimu wa 2022/23 walipokutana Uwanja wa Highland Estate mzunguko wa kwanza. Mzunguko wa pili Yanga walilipa kisasi kwa kuitungia Ihefu bao 1-0 Uwanja wa Mkapa. Mchezo…

Read More