KIUNGO HUYU WA KAZI SIMBA MAMBO FRESH

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ka sasa hali ya kiungo wao Hassan Dilunga ambaye hakuwa fiti kutokana na kupambania afya yake imezidi kutengamaa. Kwenye ligi Simba ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 67 na vinara ni Yanga wenye pointi 74. Yanga wametwaa taji la ligi ikiwa imebakiwa na mechi mbili mkononi. Dilunga hakuwa…

Read More

LIVERPOOL YAKAMWA KUTINGA NNE BORA, WAJIVUNIA HIKI

MENEJA wa Liverpool, Jurgen Klopp ameweka wazi kuwa licha ya timu hiyo kukwama kumaliza ndani ya nne bora bado wachezaji walikuwa na ushirikiano mkubwa. Amebainisha kuwa licha ya kukatishwa tamaa kwa kukosa kufuzu kwa soka ya Ligi ya Mabingwa, Klopp amesifu umoja wa wachezaji na wafuasi baada ya kuwa kwenye msimu mgumu. Mshambuliaji Mohamed Salah…

Read More

MATAJIRI WA DAR KWENYE DAKIKA 180 ZA MOTO

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wanamechi mbili za moto kukamilisha mzunguko wa pili msimu wa 2022/23 kwa kucheza kete zao mbili. Azam FC watacheza mchezo wa fainali Azam Sports Federation dhidi ya Yanga mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Yanga ilipata ushindi dhidi ya Singida Big Stars huku Azam FC ikiwatungua Simba, Uwanja wa…

Read More

WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA NDANI YA DAR

WAPINZANI wa Yanga kwenye mchezo wa kimataifa unaotarajiwa kuchezwa Mei 28, 2023 Uwanja wa Mkapa wamewasili ardhi ya Tanzania. Ni alfajiri ya leo wamewasili kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. USM Alger ya Algeria ni wapinzani wa Yanga ambao watacheza fainali ya kwanza Uwanja wa Mkapa. Saa…

Read More

FEISAL ANAOMBA MCHANGO

ANAANDIKA Feisal Salum namna hii:-“Ndugu zangu Watanzania na familia yote ya soka kwa Bara na visiwani. Mimi kijana wenu ambaye kwa miaka yote nimekua na nidhamu nje na ndani ya uwanja na kwa dhati nimeitumikia Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania na Zanzibar Heros. “Utiifu wangu umekua shubiri ya maisha yangu ya…

Read More