RUVU SHOOTING DARASA KWE WENGINE
HESABU za kwenye Ligi Kuu Bara kwa sasa zimeshafungwa kwa baadhi ya timu kutokana na kuvuna kile ambacho wamekipanda, Yanga ni mabingwa wa ligi na wametinga hatua ya fainali ya Azam Sports Federation. Ni dhidi ya Singida Big Stars walipenya kwenye nusu fainali na sasa watakwenda kumenyana na Azam FC, Mkwakwani Tanga. Ruvu Shooting ya…