SIMBA KAMILI KUIKABILI AZAM FC

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao ujao dhidi ya Azam FC. Mshindi wa mchezo huo atakutana na mshindi kati ya Singida Big Stars v Yanga mchezo unaotarajiwa kupangiwa tarehe kutokana na Yanga kuwa na kazi ya kusaka ushindi mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Ni Mei…

Read More

ISHU YA FEISAL TFF HUKUMU IMEGOTEA HAPA

KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji la Shirikisho la MPIRA wa Miguu Tanzania,(TFF) limetupilia mbali maombi ya Feisal Salum kuhusu kesi yake na Yanga. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo imeeleza kuwa Mei 4,2023 pamoja na mambo mengine lilisikiliza shauri la mchezàji Feisal Salum aliyewasilisha malalamiko akitaka kuvunja…

Read More

MANCHESTER UNITED WAPOTEZA POINTI JIONI

POINTI tatu za kikatili wamesepa nazo Brighton mbele ya Manchester united ambao walikuwa wanadhani wangeweza kupata angalau pointi moja ugenini. Ubao wa Uwanja wa Falmer ulibadilika usomaji wake dakika ya 90+9 uliposoma Brigton 1-0 Man U. Bao la pekee la ushindi mtupiaji ni Alexis Mac Allister aliwanyanyua mashabiki wa timu yake na kuwapa maumivu wale…

Read More

HUU HAPA MTAMBO WA MABAO MTIBWA SUGAR

NDANI ya Ligi Kuu Bara mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Charles Ilanfya ametupia mabao manne akiwa ni namba moja kwa utupiaji kwenye kikosi hicho kilicho nafasi ya 12 na pointi 29. Ikumbukwe kwamba kinara wa utupiaji anatokea ndani ya Yanga ambaye ni Fiston Mayele mwenye mabao 16. Ni mabao 27 safu ya ushambuliaji ya Mtibwa Sugar…

Read More