
YANGA YAFANYA KWELI KIMATAIFA, YAICHAPA RIVERS UNITED
UKIWA ni mchezo wa kwanza hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho, ushindi unarejeja Tanzania. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Godswill Akpabio huko Nigeria umesoma Rivers United 0-2 Yanga. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ilipata ushindi huo kwa mabao ya nyota Fiston Mayele. Mayele alipachika mabao hayo kipindi cha…