YANGA HAO NUSU FAINALI KIMATAIFA CAF
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi imeandika historia bora ya kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Faida ya mabao ya ugenini ubao uliposoma Rivers United 0-2 Yanga umewapa nguvu kusonga mbele. Mabao yote yalifungwa na Fiston Mayele akitumia pasi za Bakari Mwamnyeto. Katika mchezo wa leo Uwanja wa Mkapa wametoshana nguvu…