
KMC YAVUNJA REKODI MBOVU YASHINDA KWA MARA YA KWANZA
KMC inayonolewa na Hitimana Thiery iliambulia pointi moja kwenye sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar huku mechi sita wakiambulia kichapo mazima. Timu hiyo KMC ilishuhudia ubao ukisoma KMC 1-3 Simba, Desemba 26,2022,Ihefu 1-0 KMC, Januari 3,2023,Mtibwa Sugar 1-1 KMC, Januari 13,2023. KMC 1-3 Namungo, Januari 24,2023,Ruvu Shooting 2-1 KMC, Februari 5,KMC 0-1 Yanga Februari 22 na Azam FC 1-0 KMC Februari 25….