
HUYU HAPA KUPEWA MIKOBA YA ZIMBWE JR SIMBA
WAKIWA na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya Raja Casablanca mikoba ya nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein Zimbwe Jr inatarajiwa kuwa mikononi mwa Gadiel Michael. Zimbwe atakosekana kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa usiku wa kuamkia Aprili Mosi ikiwa ni mchezo wa hatua ya makundi kwa timu hizo mbili ambazo zimetinga hatua ya…