SIMBA YATINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
SIMBA inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira inatinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika huku ikionyesha kwa mara ya kwanza pira Dubai Uwanja wa Mkapa. Ni ushindi wa mabao 7-0 Horoya uliopatikana baada ya dakika 90 mbele ya mashabiki waliojitokeza kwa wingi kushuhudia burudani hizo. Mabao ya Clatous Chama ambaye katupia hat…