KIUNGO WA KAZI AREJEA NDANI YA KIKOSI CHA SIMBA
KIUNGO wa kazi ndani ya Simba, Hassan Dilunga amerejea kwenye uwanja wa mazoezi baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akipambania afya yake. Nyota huyo aliumia kwenye mazoezi wakati timu hiyo ilipokuwa kwenye maandalizi ya mechi zake za ushindani. Taarifa iliyotolewa na Simba imeeleza kuwa HD amerejea ndani ya kikosi hicho baada ya kupona. Hivi…