AL AHLY WAMEPIGWA HUKO LIGI YA MABINGWA AFRIKA
MAAJABU ya mpira kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika yameendelea ikiwa ni hatua ya makundi. Ni Marcelo Allende alipachika bao la mapema dakika ya 4, ngoma nyingine ilijazwa kimiani na Themba Zwane dakika ya 24, Teboho Mokoena alipachika dakika ya 40 kwenye mchezo dhidi ya Al Ahly. Ni Peter Shalulile alijaza kimiani mara mbili dakika ya…