NGOMA NZITO KWA SIMBA, WAGAWANA POINTI NA AZAM
NGOMA nzito kwa Simba mbele ya Azam FC baada ya Mzizima Dabi kukamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1. Mchezo ulioshuhudia bao la mapema na bao la usiku kwa timu zote mbili huku wafungaji wote wakitoka ndani ya Azam FC. Ni Prince Dube alianza kuwatungua Simba dakika ya kwanza alipompa tabu Aishi Manula mpaka dakika…