AZAM YAPOTEZA MBELE YA DODOMA JIJI
DODOMA Jiji wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma. Bao pekee la Azam FC limefungwa na Ayoub Lyanga ambaye alipachika bao hilo dakika ya 60 na kumfanya afikishe mabao mawili kwenye ligi. Ni Muhsain alipachika bao dakika ya 27 na Collins Opare…