HII HAPA REKODI TAMU ILIYOWEKWA NA JEMBE
NI Saleh Ally Mhariri, Mtendaji wa Global Publishers na mwandishi mahiri wa habari za michezo, ameweka rekodi ya kuwa mwandishi wa Habari wa kwanza Tanzania kuchaguliwa na FIFA kupiga kura ya kumchagua mchezaji bora wa FIFA wa Dunia. Saleh Jembe amechaguliwa na FIFA kwa mara ya tatu wiki iliyopita, katika kitengo cha waandishi wa habari….