
MSHAHARA WA NYOTA HUYU SIMBA NOMA, UNALIPA WACHEZAJI NA CHENJI
MSHAHARA wa nyota huyu Simba noma, unalipa wachezaji na chenji inabaki
MSHAHARA wa nyota huyu Simba noma, unalipa wachezaji na chenji inabaki
AKIBAKISHA saba za ubingwa, Nabi aweka rekodi mpya Yanga, Mbrazil wa Simba kazi anayo ndani ya Spoti Xtra Alhamisi.
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting ameweka bayana kwamba Ruvu Shooting ni bora kuliko Yanga
MABOSI wa Singida Big Stars kwa sasa jicho lao ni kwa wachezaji wao wote wanaofanya vizuri ili wawaongezee dili jipya na miongoni mwa nyota anayetazamwa kwa ukaribu ni Bruno Gomez. Gomez raia wa Brazil ni mtambo wa mabao akiwa nayo nane huku akizitungua timu 7, anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa mitaa ya Kariakoo,…
KIKOSI cha Simba jana Jumanne kilirejea kambini baada ya mapumziko ya siku moja, huku Kocha Mkuu Mbrazili, Robert Olvieira ‘Robertinho’ akitenga programu ya siku mbili sawa na saa 48, kwa mastaa wote akiwemo straika Jean Baleke. Lengo ni kuhakikisha Simba wanaibuka na ushindi dhidi ya Coastal Union na kukata tiketi ya kucheza robo fainali ya…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameibuka na kuvunja ukimya kwa kukosekana kwa baadhi ya wachezaji wake muhimu akiwemo kiungo Feisal Salumu ‘Fei Toto’ kumesababisha kumpa wakati mgumu wa kupata matokeo katika michezo yao. Nabi ametoa kauli hiyo kufuatia Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo uliopigwa juzi Jumatatu…
CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa Simba kuna asilimia kubwa akaibuka kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union ambao ni wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Januari 28, Uwanja wa Mkapa, Dar. Chama hakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kilichoshuhudia ubao wa Uwanja wa Jamhuri ukisoma Dodoma Jiji 0-1 Simba kwa bao la Jean Baleke kwa kile…
MARA baada ya kufikia makubaliano mazuri ya kuvunja mkataba na timu yake ya Yanga, kiungo Mrundi Gael Bigirimana amekubali yaishe na juzi Jumatatu mchana alipanda ndege kurejea nyumbani kwao Burundi. Hiyo ni baada ya kufikia makubaliano mazuri ya pande mbili mchezaji na timu yake ya zamani ya Yanga iliyokubali kumlipa Sh 700Mil kwa awamu tatu….
MURTANZA Mangungu, Mwenyekiti wa Simba ambaye anatetea kiti hicho kwa mara nyingine amesema kuwa hata kama akishindwa atabaki kushirikiana na Simba kwa kuwa ni mwanachama wa timu hiyo. Januari 29,2023 Simba wanatarajia kufanya uchaguzi na mkutano mkuu ambapo kwa sasa kampeni zinaendelea. Mangungu amesema kuwa anatambua kwenye ushindani kuna kushinda na kushindwa lakini yeye hana…
ENEO ambalo KMC wanapaswa kuboresha na kuongeza nguvu kwa mzunguko huu wa pili ni ulinzi ikiwa ni beki na mlinda mlango. Kipa wao namba moja David Kissu amekuwa akifanya makosa mengi yakizembe akiwa langoni hasa kutokana na maamuzi yake yanayoigharimu timu. Alipata tabu akiwa langoni kutokana na kutunguliwa mabao akiwa langoni. Anaingia kwenye orodha ya…
MIONGONI mwa taarifa ambazo zilikuwa na sarakasi nyingi ni pamoja usajili wa nyota Mohamed Issa Banka kuibuka ndani ya Ruvu Shooting na kabla ya kuanza kucheza mkataba wake ukavunjwa. Banka ambaye amewahi kukipiga ndani ya kikosi cha Yanga, Namungo na Mtibwa Sugar alipaswa kuwa ndani ya kikosi cha Ruvu Shooting kwenye mzunguko wa pili katika…
BAADA ya kuondoka, Mbarazil Sima ampa Baleke saa 48, Singida Big Stars yaishtukia Yanga kwa Gomez ndani ya Championi Jumatano
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet kwa kushirikiana na watengenezaji mahiri wa michezo ya kasino za mitandaoni – Evolution Gaming, wanakuletea mchezo wa kijanja uitwao Crazy Time. Crazy Time ni mchezo wa kipekee kutoka studio za Evolution Gaming. Mchezo huu umejengwa na dhamira ya kukamilisha ndoto ambazo hudakwa na kinasa ndoto (Dream…
KWENYE chati ya ufungaji mabao ndani ya Azam FC, Idris Mbombo ni namba moja akiwa ametupia mabao 7 kibindoni. Nyota huyo ni imara kwenye mapigo huru ikiwa ni pamoja na penalti aliwahi kuwatungua Ruvu Shooting bao moja Uwanja wa Mkapa. Hakuwa kwenye mwendelezo wake bora kutokana na kutokuwa fiti lakini kwa sasa ameanza kurejea mdogomdogo….
KLABU ya Al Hilal ya nchini Sudan kesho Januari 25,2023 inatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kwa ajili ya kuweka kambi ya kujiandaa na michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kutokana na mahusiano mazuri ambayo wamejenga dhidi ya Klabu ya Simba SC ya Tanzania hawa watatakuwa wenyeji wao. Wakiwa nchini watacheza michezo mitatu ya kirafiki dhidi ya…
MWENDO wake kwa msimu wa 2022/23 wa Polisi Tanzania sio wa ligwaride songa mbele bali ni ligwaride rudi nyuma ikiwa unafikirisha kwelikweli. Januari 14 ikiwa ugenini, ubao wa Uwanja wa Majaliwa ulisoma Namungo 0-2 Polisi Tanzania na walikamilisha dakika 90 wakiwa pungufu. Kwenye mchezo huo mchezaji wao mmoja alionyeshwa kadi nyekundu wakati wakiongoza bao moja…