
VIDEO:ISHU YA SIMBA KAMBI DUBAI WAPIGA MKWARA
AGGY Simba shabiki wa Simba ameweka wazi kuwa kambi ya Dubai itakuwa na majibu mazuri wale wanaodhani wanazurula watapata majibu
AGGY Simba shabiki wa Simba ameweka wazi kuwa kambi ya Dubai itakuwa na majibu mazuri wale wanaodhani wanazurula watapata majibu
NAHODHA wa Taifa Stars na mshambuliaji wa KRC Genk anayecheza hapo kwa mkopo akitokea Fernebache ya Uturuki Mbwana Samatta amefunguka kuwa, siyo ajabu siku moja akwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Samatta aliyasema hayo wakati alipohojiana na Salama Jabir kwenye kipindi cha Salama Na, aliweka wazi kuwa yeye ana uchu wa mafanikio na…
NYOTA wa Simba, Peter Banda anaendelea na program maalumu itakayomrejesha kwenye ubora wake. Mchezaji huyo hajaonekana uwanjani kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na ushindani kwa muda mrefu baada ya kupata maumivu. Ni kwenye mchezo dhidi ya Singida Big Stars alipata maumivu alipoingia akitokea benchi na alifunga bao moja. Ngoma ilikuwa nzito katika mchezo huo…
Simba yavamia Congo, yashusha mido wa TP Mazembe, Musonda, beki wa kazi kufunga usajili Yanga ndani ya Championi Jumatano
Wiki hii mechi nyingi ni za EFL, Coppa Italia, Spanish Super Cup lakini pia Ligue 1 itaendelea na michezo kadhaa ya EPL pia ikitimua vumbi, Usipange kukosa kubetia mechi hizi kila moja ina Odds kubwa kutoka Meridianbet. Huko Hispania ukiachana na LaLiga, Spanish Super Cup ni moja ya mashindano pendwa sana, mchezo mkali ni kati…
RAIS wa heshima wa Klabu ya Simba Mohammed Dewji amezungumza na wachezaji pamoja na benchi la ufundi na viongozi walioongozana na timu hiyo nchini Dubai. Hayo yote ameyafanya baada ya kuitembelea kambi ya Simba ya mazoezi nchini Dubai ambapo amepata nafasi ya kuongea na wachezaji na benchi la ufundi. Miongoni mwa mambo ambayo amezungumza Mo…
AZAM FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Kali Ongala imeweka rekodi yake ndani ya Kombe la Mapinduzi 2023 kuwa timu iliyookota mabao mengi nyavuni kwenye mchezo mmoja kwa timu zilizo tatu bora bara. Ilikuwa dhidi ya Singida Big Stars kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ambapo walipoteza kwa kufungwa mabao 4-1 na kuondolewa katika Kombe…
NGOMA ni nzito lakini inapigika kwenye Kombe la Mapinduzi 2023 ambapo Singida Big Stars wanajambo lao kwenye kombe hilo wakiwa ni wamoto kweli. Ni timu ya kwanza kutinga hatua ya nusu fainali ikitokea bara na jambo lao ambalo waliweka wazi tangu awali ni kutwaa taji hilo, hapa tunakuletea namna ilivyo:- Kazad balaa tupu Mshambuliaji wao…
KWENYE ulimwengu wa michezo moja ya mjadala ambao unafuatiliwa pia licha ya kuwa na mambo mengi ni pamoja na sakata la Feisal Salum. Wimbo huu umeimbwa kwa muda huku kila pande ikivutia kwake huku kila mmoja akihitaji haki yake. Ukiweka kando masuala ya mvutano bado ukweli upo wazi kwamba kwa namna ambavyo hali ipo kwa…
KWENYE mchujo wa fainali yao katika msako wa kocha bora mwezi Desemba 2022 ni mzawa Juma Mgunda kasepa na tuzo hiyo. Kwa mujibu wa Kamati ya Tuzo iliyo chini ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imeeleza kuwa kikao cha majadiliano kilifanyika Januari 7,Desemba 2023. Mgunda amewashinda wageni Hans Pluijm na Nasreddine Nabi ambao aliingia nao…
BAADA ya Kelvin Nashon kusepa ndani ya Geita Gold na kuibukia Singida Big Stars nyota mwingine anatajwa kusepa ndani ya kikosi hicho. Ni mshambuliaji ambaye ni nahodha pia Danny Lyanga anatajwa kuibukia Dodoma Jiji. Lyanga ni mshambuliaji hivyo anakwenda kuongeza nguvu Dodoma Jiji ambayo imefunga mabao 14 kwenye mechi 19. Wengine waliosepa Geita Gold ni…
BAO la mapema lililojazwa kimiani na staa wa Namungo FC, Ibrahim Mkoko dakika ya 07 halikutosha kuifikisha timu hiyo kutoka bara hatua ya fainali. Ni kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi 2023 hatua ya nusu fainali ambapo baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Amaan ulisoma Mlandege 1-1 Namungo. Bao lililoweka usawa kwa Mlandege…
KLABU ya Al Nassr ya Saudi Arabia imeripotiwa kusitisha mkataba wa mshambuliaji wake raia wa Cameroon Vincent Aboubakar ili kumsajili Cristiano Ronaldo, kulingana na Daily Mail. Mshambuliaji huyo ataondoka katika klabu hiyo kutokana na sheria ya Ligi ya Saudia inayosema kuwa klabu inaweza kusajili hadi wachezaji 8 wa kigeni. Ili kumjumuisha Ronaldo kwenye kikosi, klabu…
KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera raia wa Brazil ameweka wazi kuwa kwa namna ambavyo ameanza kazi na wachezaji wa timu hiyo amefurahishwa na uwezo wao. Kocha huyo raia wa Brazil amepewa mikoba ya Zoran Maki aliyevunja mkataba na timu hiyo mwanzoni mwa msimu wa 2022/23. Nchini Dubai Simba imeweka kambi yake ambayo itachukua siku…
NYOTA wa Singida Big Stars, Francy Kazadi amesema kuwa ni furaha kwake kutimiza majukumu akiwa na timu yake hiyo mpya. Nyota huyo ameonyesha makeke yake ndani ya Kombe la Mapinduzi ambapo kwa sasa anaongoza idadi ya watupiaji akiwa ametupia mabao matano kibindoni. Katika mchezo wa hatua a nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi iliyochezwa Januari…