YANGA YAKOMBA POINTI ZA RUVU SHOOTING
56 ni pointi ambazo wanazo kibindoni Yanga baada ya kupata ushindi kwenye mchezo wa leo dhidi ya Ruvu Shooting. Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 umesoma Yanga 1-0 Ruvu Shooting na kuwafanya wayeyushe pointi tatu mazima. Ni Mpoki Mwakinyuke ambaye ni nyota wa Ruvu Shooting alijifunga kwenye harakati za kuokoa hatari langoni mwake. Kipa…