NYOTA BALEKE AIPA POINTI TATU SIMBA UGENINI
BAO pekee la ushindi kwenye mchezo wa leo uliochezwa Uwanja wa Mkapa limepachikwa dakika 45 za kipindi cha kwanza. Ubao umesoma Dodoma Jiji 0-1 Simba ambapo ni bao la Jean Baleke aliyetumia pasi ya Kibu Dennis. Shukran kwa Baleke ambaye alikuwa na utulivu ndani ya 18 huku makosa ya safu ya ulinzi ya Dodoma Jiji…